Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vurugu zatokea msibani Arusha,mbunge magige azuiwa mwenyewe aongea

Magige Full 660x400 Vurugu zatokea msibani Arusha,mbunge magige azuiwa mwenyewe aongea

Fri, 28 May 2021 Chanzo: millardayo.com

Katika hali isiyo ya kawaida kumetokea vurugu katika mazishi ya mfanyabiashara Kuzola Madoda mkazi wa mkoa wa Arusha wakati akizikwa baada ya mbunge wa viti maalumu kuuziwa getini wakati akitaka kuingia katika eneo la maziko.

Lakini baadaye baada yakuingia nakuweka shada la maua kwenye kaburi hilo alitoka nakuzungumza kuhusiana na tukio hilo kwa ufupi nakusema hajaja kwenye mashindano na ana majonzi.

“Hatujaja kwenye mashindano,tumekuja kumzika mpendwa wetu,nina majonzi nitaongea nini sina cha kuongea no comment”-Mbunge Catherine Magige

Chanzo: millardayo.com