Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vituko vya RC Makongoro akiapisha "Sijawahi kuapisha Ma DC, Mrembo ana mvuto"

999999 660x400 Vituko vya RC Makongoro akiapisha "Sijawahi kuapisha Ma DC, Mrembo ana mvuto"

Wed, 23 Jun 2021 Chanzo: millardayo.com

NI Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Makongoro Nyerere ambae time hii aemfanya uapisho kwa Wakuu wa wilaya sasa miongoni mwa vitu vilivyowaacha hoi  watendaji na watu mbalimbali kupelekea kucheka ni baada ya kusema tangu azaliwe hajawahi kuwaapisha Ma DC hivyo anamshukuru Mama Samia  kwa kumpa cheo cha Ukuu wa mkoa kwani kimemuheshimisha.

Chanzo: millardayo.com