Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vioo vyafungwa kupunguza ajali Mlima Kitonga

IMG 20240402 WA0001 Vioo vyafungwa kupunguza ajali Mlima Kitonga

Tue, 2 Apr 2024 Chanzo: ITV

Wakala wa Barabara mkoani Iringa umeweka vioo katika kona za mlima Kitonga ili kupunguza ajali, ambapo vioo hivyo vikubwa vitawasaidia madereva kuona upande wa pili wa barabara kwenye maeneo ya kona.

Wakala wa Barabara mkoani Iringa umeweka vioo katika kona za mlima Kitonga ili kupunguza ajali, ambapo vioo hivyo vikubwa vitawasaidia madereva kuona upande wa pili wa barabara kwenye maeneo ya kona. Tuambie unadhani uwepo wa vioo hivyo utaleta matokeo chanya katika kupunguza ajali kwenye mlima huo?.

Chanzo: ITV