Thu, 6 Jun 2024
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Jeshi la polisi linawashikilia vijana 50 kwa kujihusisha na biashara ya mtandaoni ya Q - NET inayohusishwa na utapeli.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Dkt. Batilda Buriani amesema vijana hao watapewa mafunzo ya ujasiriamali kishwa kurejeshwa kwenye maeneo yao kwa lengo la kutumia ujuzi huo kujiendeleza kibiashara.
Je, hatua hii ya Mkuu wa Mkoa kuagiza vijana hao wapewe mafunzo kisha waruhusiwe kurejea makwao na kuwa wajasriamali unaizungumziaje?
Chanzo: www.tanzaniaweb.live