Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vibanda vipya Coco-Beach hatarini kuondolewa na bahari

Vibanda CoCo (600 X 450) Vibanda vipya Coco-Beach hatarini kuondolewa na bahari

Tue, 30 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wafanya biashara katika ufukwe wa COCO wamelalamikia miundo mbinu mibovu inayopelekea sehemu za vibanda vyao kuondolea na mkondo wa bahari, jambo ambalo linatishia kubomoka kwa vibanda hivyo vipya.

Aidha wameiomba Serikali kuwasaidia kuziba kuta zilizo katika kingo za bahari ambazo kimsingi ndizo zinashikiria vibanda hivyo.

Tazama hapa chini video kwa hisani ya TBC Online.

View this post on Instagram

A post shared by TBCOnline (@tbc_online)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live