Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

VIDEO: Waziri Kigwangalla alivyomaliza mgogoro wa Wananchi Rufiji

3431 DSC 7035 1 660x400

Mon, 26 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Waziri wa Maliasili na Utalii Dr. Hamisi Kigwangalla amemaliza mgogoro wa ardhi uliodumu kwa zaidi ya miaka minne baina ya Hifadhi ya Msitu wa Utete maarufu kama Msitu wa Kale na vitongoji vinavyopakana na hifadhi hiyo vya Siasa, Nyawanje, Kindwitwi na Utunge katika wilaya ya Rufiji mkoani Pwani.



Polisi DSM, kuhusu Kiongozi wa CHADEMA aliyenyongwa

Chanzo: millardayo.com