Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ukuta wa hospitali waanguka na kujeruhi wagonjwa 9

Platnum Hospitall Ukuta wa hospitali waanguka na kujeruhi wagonjwa 9

Tue, 17 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Watu 9 wamejeruhiwa baada ya kuangukiwa na ukuta wa ghorofa katika Hospitali ya Platinum’s iliyopo Msavu Manispaa ya Morogoro.

Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Goodluck Zelote amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo ambapo amesema kuwa waliojeruhiwa Ni wagonjwa ambao walikuwa wakipatiwa matibabu katika HospitalI hiyo na tukio limetokea majira ya saa tano huku chanzo cha ukuta huo kudonda akijiafahamika.

Tayari wamejeruhi wamepelekwa Hospital ya rufaa ya mkoa wa Morogoro kwa ajili ya matibabu Zaidi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live