Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ujenzi Daraja la JPM Kingogo - Busisi wafikia asilimia 70

83917536 Ujenzi Daraja la JPM Kingogo - Busisi wafikia asilimia 70

Fri, 10 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ujenzi wa Daraja la John P. Magufuli la Kigongo-Busisi lenye urefu wa kilometa 3 linalokatisha kwenye Ziwa Victoria umefikia asilimia 70.

Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa na chanzo kimoja kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook imeeleza kuwa, watendaji wamekuwa wakifuraha kuendelea kufanya kazi ili kufikia malengo.

Daraja hilo ni refu zaidi nchini na linachukuliwa kama alama kubwa kwa nchi ya Tanzania na Mkoa wa Mwanza na kukamilika kwake kutafanya liwe ni Daraja refu zaidi ukanda wa Afrika Mashariki na Kati na la sita kwa urefu barani Africa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live