Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Uhai wako sio wa Kanisa" RC Mtaka (+video)

Video Archive
Sun, 1 Aug 2021 Chanzo: millardayo.com

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Antony Mtaka akizungumza leo kwenye Mkuu wa Sinodi Kanisa Anglikana Dayosisi ya Central Tanganyika “Usije kufanya siasa kwenye chanjo, uhai wako sio mali ya Kanisa lako, utakufa Kanisa lipo, uhai wako sio mali ya Serikali, utakufa Serikali ipo, uhai wako sio mali ya Msikiti, uhai wako ni mali yako mwenyewe, wakati tunaendelea kujadiliana hapa kuhusu chanjo mpaka sasa hivi Watu amabo wameniomba wawekwe kwenye orodha ya chanjo ni zaidi ya 1000”.

Chanzo: millardayo.com