Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ugonjwa wa ajabu waua mifugo Wilayani Serengeni Mkoani Arusha Tanzania

70069 Pic+ugonjwa

Tue, 6 Aug 2019 Chanzo: mwananchi.co.tz

Serengeti. Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti imeagiza jumla ya chanjo 4,000 kwa ajili ya kusaidia wafugaji wa kata za Kyambahi, Natta na Issenye kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa unaoua ndama, kondoo na mbuzi.

Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya hiyo Juma Hamsini leo jumatatu agosti 5 akizungumza na Mwananchi Digital kwa simu jana Jumatatu, Agosti 5, 2019, amesema lengo ni kunusuru vifo vya mifugo vinavyoendelea kwa kasi maeneo hayo ya kando na hifadhi na mapori ya Akiba.

Raymondi Nyamasagi mmoja wa wafugaji waliopoteza mifugo yake eneo la Nyakitono kutokana na ugonjwa huo, amesema mpaka sasa hakuna anayejua ni ugonjwa gani na aina ya dawa ya kuutibia.

Chanzo: mwananchi.co.tz