Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ugonjwa wa ajabu! Mtoto miezi 6 kilio tu kitandani, tatizo lilianzia shule – Video

Video Archive
Wed, 2 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtoto Doreen Sudi (10) mkazi wa Kitunda Kinyatira yupo katika maumivu makali sana, nah ii ni baada ya kusumbuliwa na maradhi ya moyo, ambayo mishipa ya kupitisha damu kwenye moyo imesinyaa na anahitajika kufanyiwa oparesheni ambayo gharama yake ni kiasi cha shilingi milioni nne.

Akizungumza na Global Tv Online baba mzazi wa mtoto huyo, anadai kuwa toka mwezi wa tatu mtoto wake yuko katika hali hiyo, analia muda wote na hakuna hata kupata lepe la usingizi, kutokana na maumivu anayopata mtoto.

“Unavyoniona hapa nimeuza kila kitu nimebaki na ndoo kwaajili ya kuhangaikia matibabu ya mtoto wangu, lakini hiyo milioni nne imekuwa kubwa sana kwangu sina kitu kabisa” alisema baba huyo Kwa upendo mkubwa Baba huyo anaomba watanzania wamsaidie motto wake kwani maumivu anayoyapitia ni makali sana.

0782503228 (Perpetua Malyeba).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live