Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ufafanuzi kuhusu kupishana kwa idadi ya watu waliokuwa kwenye ndege

IMG 8118 1140x640 Ufafanuzi kuhusu kupishana kwa idadi ya watu waliokuwa kwenye ndege

Mon, 7 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila, ametoa ufafanuzi kuhusu idadi halisi ya abiria waliokuwa ndani ya ndege, waliookolewa na waliofariki dunia.

Amesema ndani ya ndege, kulikuwa na watu 43 ambapo kati yao, 24 waliokolewa na wengine 19 kufariki dunia ambapo watu wawili waliozidi kwenye idadi ya waliookolewa, hawakuwa ndani ya ndege.

Amesema mmoja kati ya waliookolewa, ni kijana shujaa aliyewaokoa watu 26, Majaliwa Jackson na mwingine ni mfanyakazi wa uwanja wa ndege, hivyo kufanya jumla ya waliookolewa kuwa 26.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live