Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Uandikishaji Kidato cha kwanza hauridhishi

Maabara Wanafunzi Uandikishaji Kidato cha kwanza hauridhishi

Tue, 17 Jan 2023 Chanzo: Mwanaspoti

Katibu Tawala Mkoa wa Songwe, Happiness Seneda amesema zaidi ya wanafunzi asilimia 63 wa kidato cha kwanza waliochaguliwa kuanza masomo Januari 9 mwaka huu hawajaripoti shuleni hadi siku ya ijumaa ya tarehe 13 ambapo amesema jitihada ya ziada inahitajika ili kuhahikisha wanafunzi wote wanaanza masomo hata kama hawana mahitaji ya shule ikiwemo sare za shule ambapo wanafunzi waliochaguliwa ni 22986 ila walioripoti ni 7772.

Katibu Tawala Mkoa wa Songwe, Happiness Seneda amesema zaidi ya wanafunzi asilimia 63 wa kidato cha kwanza waliochaguliwa kuanza masomo Januari 9 mwaka huu hawajaripoti shuleni hadi siku ya ijumaa ya tarehe 13 ambapo amesema jitihada ya ziada inahitajika ili kuhahikisha wanafunzi wote wanaanza masomo hata kama hawana mahitaji ya shule ikiwemo sare za shule ambapo wanafunzi waliochaguliwa ni 22986 ila walioripoti ni 7772. Ameyasema hayo wakati wa kikao kazi cha wasimamizi wa elimu katika shule za msingi na sekondari Mkoani Songwe .

Chanzo: Mwanaspoti