Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

USANIFU DARAJA LA MITA 300 JANGWANI WAANZA

6fa204d77347cf064be481802170f27a USANIFU DARAJA LA MITA 300 JANGWANI WAANZA

Fri, 4 Dec 2020 Chanzo: habarileo.co.tz

“ Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano imeandaa mkakati wa muda mrefu kuhusu miundombinu ya eneo la Jangwani na kwa sasa wataalamu wanafanya usanifu wa kina kwa ajili ya kuja na suluhisho la kudumu ikiwemo ujenzi wa daraja lenye urefu wa mita 300,” Elius Mwakalinga Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayeshughulikia Sekta ya Ujenzi, amesema

“ Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano imeandaa mkakati wa muda mrefu kuhusu miundombinu ya eneo la Jangwani na kwa sasa wataalamu wanafanya usanifu wa kina kwa ajili ya kuja na suluhisho la kudumu ikiwemo ujenzi wa daraja lenye urefu wa mita 300,” Elius Mwakalinga Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayeshughulikia Sekta ya Ujenzi, amesema Aidha ameagiza Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), kuhakikisha kwa sasa wanatafuta ufumbuzi wa haraka ikiwemo kutoa mchanga ambao umetuama katika eneo hilo ili kuinusuru miundombinu hiyo.

Chanzo: habarileo.co.tz