Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

UPDATES: Meya Arusha atajwa kusababisha Diwani mwenzie kukamatwa

2870 WhatsApp Image 2018 02 08 At 16.32.49 660x400.jpeg

Fri, 9 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

February 6, 2018 ilikuwa siku ya kikao cha Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya Jiji la Arusha lakini baada ya kikao kumalizika Diwani wa Kata ya Daraja Mbili CHADEMA Prosper Msofe alikamatwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kukutwa na nyaraka za siri za serikali.

Baada ya kuachiwa Diwani huyo amemtuhumu Meya wa Jiji la Kalist Lazaro kwa madai yakuhusika kumuweka ndani baada ya kuhoji suala la kusaini mikataba ya maduka ya stendi ndogo kinyume na utaratibu.

ALICHOZUNGUMZA DIAMOND PLATNUMZ BAADA YA KESI YAKE NA HAMISA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA



LIVE BUNGENI: Kipindi cha maswali na majibu



Wema Sepetu baada ya kutoka Mahakamani



Chanzo: millardayo.com