Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

“Tuwafariji wafungwa, mahabusu nchini’

54e58fbd3740dbab9c292c991bfcdc90.jpeg “Tuwafariji wafungwa, mahabusu nchini’

Thu, 10 Dec 2020 Chanzo: habarileo.co.tz

Mwenyekiti wa Kikundi cha Wanawake cha Itambue Thamani Yako (ITY), Minael Donald ameitaka jamii kuwakumbuka wahitaji hasa wafungwa na mahabusu waliopo gerezani kwa kuwatembelea au kuwapa msaada wa vitu pamoja na maneno ya faraja.

Mwenyekiti wa Kikundi cha Wanawake cha Itambue Thamani Yako (ITY), Minael Donald ameitaka jamii kuwakumbuka wahitaji hasa wafungwa na mahabusu waliopo gerezani kwa kuwatembelea au kuwapa msaada wa vitu pamoja na maneno ya faraja. Donald amesema hayo wilayani Kahama mkoani Shinyanga wakati kikundi chake kikikabidhi msaada wa chakula, mavazi, sabuni na taulo za kike kwa wafungwa wanawake katika Gereza la Kahama.

Chanzo: habarileo.co.tz