Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tulia: Kesi ya kina Mdee sio jinai

MDEE NA WENZAKEEE Tulia: Kesi ya kina Mdee sio jinai

Tue, 27 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa wabunge 19 wa viti maalum wanaendelea kuwa bungeni kwa sababu wamepinga kuvuliwa uanachama na CHADEMA.

Amesema wabunge hao wamefungua kesi wakipinga kuvuliwa uanachama kwa sababu wanaona hawakutendewa haki, na kwamba kesi hii haiwezi kulinganishwa na kesi nyingine za jinai na ndio sababu wenyewe hawajafungwa.

"Ni kesi ya kisiasa, ni kesi ya uchaguzi, ni kesi ya katiba inayohusu chama chao," amesema Dkt. Tulia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live