Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Treni yapata ajali Morogoro ikiwa na abiria 1370 "Dereva amefariki, kuna Majeruhi"

Screenshot 2021 07 22 At 16.01.02 660x400.png Treni yapata ajali Morogoro ikiwa na abiria 1370 "Dereva amefariki, kuna Majeruhi"

Fri, 23 Jul 2021 Chanzo: millardayo.com

Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema Treli ya Abiria imepata ajali saa tatu asubuhi July 22, 2021  baada ya Lori kuigonga Treni hiyo katika eneo la Kambi moa Godegode, Morogoro na kupelekea majeruhi 21 ambapo Wanaume ni 13 na Wanawake 8 na kifo cha Dereva wa Lori ambaye jina lake ni Gerald Malandu.

Treni hiyo iliyokuwa ikitokea Dodoma kuelekea Dar es salaam ilikuwa na abiria 1370 na tayari majeruhi wamefikishwa Zahanati ya SGR Kidete kwa Matibabu.

L

Chanzo: millardayo.com