Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Treni ya kati ya Deluxe yakwama Dodoma

Treni Delux Treni ya kati ya Deluxe yakwama Dodoma

Mon, 11 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Treni ya kati ya abiria aina ya DELUXE tokea mkoani Kigoma kuelekea Morogoro mpaka Dar es salaam imeelezwa imeshindwa kuendelea na safari usiku huu na kukwama kwenye Station ya KIKOMBO Mkoani Dodoma.

Kwa mujibu wa abiria waliomo kwenye Treni hiyo ya TRC, wanasema hawajaambiwa chochote sababu za kukwama hapo na mpaka sasa hawajui hatma ya safari yao kuendelea.

Kitengetv inaendelea kuwatafuta wahusika wa TRC kupata ufafanuzi wa Treni hiyo kukwama hapo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live