Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tisa wanusurika kifo Bukoba

Ajali Tisa Bukoba.png Tisa wanusurika kifo Bukoba

Tue, 30 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Watu 9 wamenusurika kifo baada ya magari aina ya coaster na land cruiser kugongana katika eneo la barabara ya Kashura Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera baada ya gari aina ya coaster kufeli breki na kuparamia nyumba.

Watu 9 wamenusurika kifo baada ya magari aina ya coaster na land cruiser kugongana katika eneo la barabara ya Kashura Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera baada ya gari aina ya coaster kufeli breki na kuparamia nyumba. Akizungumzia ajali hiyo Mkuu wa wilaya ya Bukoba Erasto Sima, amesema kuwa kwenye coaster kulikuwemo watu watano na Land cruise watu wawili na kwenye nyumba walikuwepo watu wawili ila hakuna kifo na majeruhi wamekimbizwa hospital ya Rufaa ya mkoa Bukoba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live