Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tazama mwili wa hayati Magufuli ulivyowasili Chato, Simanzi na vilio vyatawala

Video Archive
Thu, 25 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

 MACHI 24, 2021 mwili wa Hayati Dkt. John Magufuli umefikishwa nyumbani kwao Chato huku Wananchi wa Chato wakiwa na simanzi na majonzi wakiwa pembeni mwa Barabarani kuupokea mwili wa Hayati Magufuli ambapo utalala nyumbani kwao kijiji cha mlimani hapa Chato.

Chanzo: millardayo.com