Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tazama kijana aliyetrend kwa kumuimbia Bilionea Laizer alivyoruka hadi akapewa hela

Siriii44 660x400 Tazama kijana aliyetrend kwa kumuimbia Bilionea Laizer alivyoruka hadi akapewa hela

Wed, 5 Aug 2020 Chanzo: millardayo.com

Paul siria ni msanii wa nyimbo za injili ambaye amekuwa akitrend baada yakumtungia Bilionea Saniniu Laizer nyimbo nakuiimba mbele ya viongozi mbalimbali wakati Bilionea huyo akiuza jiwe lingine  kwa serikali lenye thamani ya shilingi Billion 4.8, ambapo wakati anaimba Laizer na viongozi wengine walisimama nakuamua kumpatia fedha

Paul siria ni msanii wa nyimbo za injili ambaye amekuwa akitrend baada yakumtungia Bilionea Saniniu Laizer nyimbo nakuiimba mbele ya viongozi mbalimbali wakati Bilionea huyo akiuza jiwe lingine  kwa serikali lenye thamani ya shilingi Billion 4.8, ambapo wakati anaimba Laizer na viongozi wengine walisimama nakuamua kumpatia fedha Siria alikuwa mchimbaji mdogo wa madini katika mgodi wa Laizer ambapo baadaye aliamua kuacha na kuanza kuimba nyimbo za injili ambapo kwa mara ya kwanza aliimba nyimbo yakumpongeza Laizer baada yakupata madini ya Tanzanite yenye thamani ya bilion 7.8

Chanzo: millardayo.com