Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tanzania kukumbwa na uhaba wa mvua

MVUAAAAAA.jpeg Tanzania kukumbwa na uhaba wa mvua

Wed, 27 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

"Viashiria kutoka Bahari ya Pasifiki, Magharibi mwa Bahari ya Hindi, Pwani ya Angola na Antlantiki vinaonesha Tanzania kukumbwa na uhaba wa Mvua.

Mwelekeo wa Mvua za November2021 hadi April 2022 unaonesha hali hiyo inachangiwa na joto la Bahari katika vyanzo hivyo vya mvua kwa nchi ya Tanzania kuwa la wastani.

Hivyo upepo wenye unyevunyevu ambao unasafiri na mvua utafika katika eneo la nchi ukiwa hauna athari inayosababisha mvua " DK Agnes Kijazi - Mkurugenzi Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini TMA

Chanzo: www.tanzaniaweb.live