Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TMA: Mvua kubwa kunyesha kesho mikoa ya Kusini

Mvuaaaaaaaaa Kubwaaa TMA: Mvua kubwa kunyesha kesho mikoa ya Kusini

Tue, 21 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo la uwepo wa mvua kubwa kesho Jumatano March 22,2023 katika maeneo mengi ya Mikoa ya Lindi na Mtwara.

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo la uwepo wa mvua kubwa kesho Jumatano March 22,2023 katika maeneo mengi ya Mikoa ya Lindi na Mtwara. Athari zinazoweza kujitokeza ni baadhi ya Makazi kujaa maji pamoja na kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi “Tafadhali zingatia na ujiandae”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live