Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TBS waweka kambi Tabora msako wa bidhaa zisizokidhi viwango (+picha)

Screenshot 2021 04 06 At 13.56.51 660x400.png TBS waweka kambi Tabora msako wa bidhaa zisizokidhi viwango (+picha)

Tue, 6 Apr 2021 Chanzo: millardayo.com

#QuirpTTWW66$$#0#

Mkaguzi wa TBSĀ  Sileje Lushibika akiendelea na ukaguzi wa majengo ya bidhaa za chakula na Vipodozi katika eneo la Ipole, wilayani Sikonge ambapo alibani uwepo wa vipodozi vilivyokatazwa ambavyo viliondolewa kwa ajili ya kutekekezwa.

#QuirpTTWW66$$#1# #QuirpTTWW66$$#2#

Mkaguzi wa TBS, Zena Mushi akiendelea na zoezi la usajili kwa wafanyabiashara wa bidhaa ya chakula na vipodozi katika kata ya Tutuo, Wilayani Sikonge- Tabora. Wafanyabiashara hao walifurahia kusogezewa huduma hiyo na kulitaka Shirika lifanye zoezi hilo Nchi zima

#QuirpTTWW66$$#3#

Mkaguzi wa TBS Bw,Sileje Lushibika akimsajili mfanyabiashara, Bw Hamza Rashid mara baada ya kukamilisha ukaguzi katika eneo la Sokoni Wilayani Sikonge-Tabora. Wafanyabiashara wanatakiwa wasajili majengo yao ili wapate kibali kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni za uuzaji, usambazaji na uhifadhi wa bidhaa za chakula na vipodozi

Chanzo: millardayo.com