Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sophia Nyerere afariki Dunia, RC Makongoro athibitisha

66666544 Sophia Nyerere afariki Dunia, RC Makongoro athibitisha

Wed, 28 Jul 2021 Chanzo: millardayo.com

Leo July 27, 2021 moja kati ya taarifa tulizonazo ni juu ya kifo cha Sophia Nyerere ambaye ni Mjukuu wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere aliefariki katika hospitali ya Mzena alipokuwa anapatiwa matibabu. Sophia alikuwa mtoto wa marehemu Kapteni John Nyerere ambaye ni mtoto wa nne wa Hayati Julius Nyerere.

Chanzo: millardayo.com