Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Singida ekari 596,000 kilimo cha Alizeti

Alizeti.jfif Singida ekari 596,000 kilimo cha Alizeti

Fri, 27 Aug 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkoa wa Singida umetenga ekari 596,000 kwa ajili ya kilimo cha Alizeti na kuitaka serikali ihakikishe mbegu zinapatiakana kwa wakati Ili kuwahamasisha wakulima wanaongeza ukubwa wa maeneo yao ya kilimo kwa lengo la kukuza kilimo cha Alizeti.

Mkoa wa Singida umetenga ekari 596,000 kwa ajili ya kilimo cha Alizeti na kuitaka serikali ihakikishe mbegu zinapatiakana kwa wakati Ili kuwahamasisha wakulima wanaongeza ukubwa wa maeneo yao ya kilimo kwa lengo la kukuza kilimo cha Alizeti. Mkuu wa Mkoa wa Singida Dakta Binilith Mahenge amesema hayo Jijini Dar es Salaam katika kikao kati yake, Waziri wa Kilimo Profe. Adolf Mkenda na wataalam wa kilimo wa mkoa huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live