Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba wasumbufu wauawa Njombe

Esfd Simba Simba wasumbufu wauawa Njombe

Mon, 7 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba wawili waliozua taharuki maeneo mbalimbali ya vijiji vya mikoa ya Njombe na Iringa, hii leo Agosti 7, 2023, katika kitongoji cha Lole, Kijiji cha Makungu wilaya ya Mufindi kwa ushirikiano wa Askari wa Jeshi la Uhifadhi wa Wanyamapori kutoka Kipengere

Mkuu wa Hifadhi ya Kipengere mkoani Njombe, Donasiani Makoye, amesema Simba hao walitoweka Hifadhini Julai 21 mwaka huu na wao waliendelea kuwafuatilia Simba hao na leo wamefanikiwa kuwaua

Mhifadhi huyo amekiri kuwa Simba hao wamesababisha madhara makubwa kwa kushambulia na kuua ng'ombe 14 na nguruwe 5.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live