Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shule aliyoijenga billionea Laizer yakamilika imetumia million 466

Video Archive
Thu, 14 Jan 2021 Chanzo: millardayo.com

Bilionea wa kitanzania Saniniu Laizer ambaye alipata madini ya Tanzanite kwa nyakati tofauti amekamilisha ujenzi wa shule yake aliyoijenga nakuipa jina la Saniniu Laizer ambapo ujenzi wake umetumia million 466.

Bilionea wa kitanzania Saniniu Laizer ambaye alipata madini ya Tanzanite kwa nyakati tofauti amekamilisha ujenzi wa shule yake aliyoijenga nakuipa jina la Saniniu Laizer ambapo ujenzi wake umetumia million 466. Shule hiyo imezinduliwa  na katibu tawala wa wilaya ya Simanjiro Zuena Omary ambapo amesema itapewa vibali haraka  nakuahidi kushirikiana naye ikiwa ni pamoja nakupeleka waalimu.

Chanzo: millardayo.com