Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shuhuda adai transfoma chanzo ajali ya moto kiwandani

Moto Watoto Shuhuda adai transfoma chanzo ajali ya moto kiwandani

Thu, 25 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati wafanyakazi wa Kiwanda cha Jambo wakisubiria hatma yao baada ya sehemu ya kiwanda hicho kuungua moto, shuhuda wa kwanza wa tukio hilo, Leila Bhanji amesema alikuta transfoma iliyo pembezoni mwa jengo moto ulikoanzia likiwa linawaka moto.

Wakati wafanyakazi wa Kiwanda cha Jambo wakisubiria hatma yao baada ya sehemu ya kiwanda hicho kuungua moto, shuhuda wa kwanza wa tukio hilo, Leila Bhanji amesema alikuta transfoma iliyo pembezoni mwa jengo moto ulikoanzia likiwa linawaka moto. "Niliona moshi, nilipofika eneo la tukio nikakuta moto umeanza lakini haujashika kasi sana na transfoma likiwa limelipuka," amesema Leila Bhanji ambaye ndiye alipiga simu kwa watu wa zimamoto jana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live