Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Shuhuda: Tuliambiwa ndege inaweza kulipuka

AF3F8651 74E5 4C25 83A5 3A75EAFBB0F1.jpeg Shuhuda: Tuliambiwa ndege inaweza kulipuka

Mon, 7 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mmoja wa waokoaji anasema shughuli ya kuokoaji ilisitishwa baada ya waokoaji kuingiwa na hofu ndege ya shirika la Precision Air iliyoanguka kwenye Ziwa Victoria nchini Tanzania inaweza kulipuka.

William Ruta, mkazi wa Bukoba ni miongoni mwa mashuhuda waliohusika katika zoezi la uokoaji.

Maelezo ya sauti, William Ruta: "Rubani aliwasha taa wakati tunaokoa watu tukaambiwa ndege inaweza kulipuka."

AJali hiyo imesababisha vifo vya watu 19 akiwemo rubani wa ndege hiyo huku watu wengine 26 wakiokolewa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live