Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sh920 milioni kujenga shule mbili Ruangwa

Trilioni 1.29 Zimetumika Kuboresha Mazingira Ya Elimu   Majaliwa Sh920 milioni kujenga shule mbili Ruangwa

Wed, 21 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia kutoa shilingi Milioni 920 kwa ajili ya ujenzi wa shule mbili za sekondari za Namakuku na Namichinga wilayani Ruangwa mkoani Lindi, ikiwa ni.moja ya mikakati ya serikali katika koboresha sekta ya elimu nchini.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema ujenzi wa shule hizo utasaidia wanafunzi katika maeneo hayo kutotembea umbali mrefu kwenda kufuata elimu.

Majaliwa alikuwa akikagua maendeleo ya ujenzi wa zahanati ya Namakuku pamoja na taa za barabarani kwenye kata ya Chienjele wilayani Ruangwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live