Wed, 8 Mar 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Serikali mkoani Katavi imetoa rambirambi ya Sh 100,000 kwa kila familia iliyopatwa na msiba kufuatia ajali ya basi la Komba's iliyotokea Machi 6, 2023 katika mlima wa Nkondwe wilayani Tanganyika.
Serikali mkoani Katavi imetoa rambirambi ya Sh 100,000 kwa kila familia iliyopatwa na msiba kufuatia ajali ya basi la Komba's iliyotokea Machi 6, 2023 katika mlima wa Nkondwe wilayani Tanganyika. Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko amesema rambirambi hizo zitawasilishwa na maofisa watakokwenda kushiriki shughuli za mazishi kwa familia maeneo mbalimbali ambayo marehemu hao watapelekwa.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live