Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Serikali yakiri kutambua umuhimu wa sekta binafsi kwenye elimu

59b9e395461c520df6f6256f55bcc2b2 Katibu Mkuu wa wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia

Tue, 10 Aug 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Serikali imesema kwamba inatambua mchango wa sekta binafsi kwenye sekta swala Elimu, imesema itaelendelea kushirikiana na taasisi binafsi na watu binaffsi wanao wekeza kwenye sketa ya Elimu.

Katibu wa wizara ya Elimu,sayansi na teknolojia, Dr Leonard Akiwilapo, aliyasema hayo week hii katika mahafahali ya nane ya shule ya msingi El shadai iliyopo Ihuwa mkoani Dodoma.

Serikali imendelea kutambua na kukubali mchango Elimu unaotolewa na sekta binafsi, Alisema madhumuni ya ushirikiano wa serikali na sekta binafsi ni kusaidia kukuza Elimu ya Tanzania

Alithitisha kuwa badaliliko yoyote kwenye Mtaala yata husisha watafti na washauri ili kuepuka kuwachanganya wanafunzi na walimu shule za msingi pamoja na wahadhiri wa vyuo vikuu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live