Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Safari ya mwisho ya mama Mary Ndalichako

Ndalichako Maziko Safari ya mwisho ya mama Mary Ndalichako

Fri, 27 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mbunge wa Kasulu Mjini ambaye pia ni Waziri wa Kazi, Vijana, Ajira na wenye ulemavu Profesa Joyce Ndalichako jana ameshiriki mazishi ya Mama yake Mzazi Mary Ndalichako aliyefariki dunia Mei 20, 2022 katika Hospiyali ya Taifa Muhimbili.

Mbunge wa Kasulu Mjini ambaye pia ni Waziri wa Kazi, Vijana, Ajira na wenye ulemavu Profesa Joyce Ndalichako jana ameshiriki mazishi ya Mama yake Mzazi Mary Ndalichako aliyefariki dunia Mei 20, 2022 katika Hospiyali ya Taifa Muhimbili. Ndugu, Jamaa, Viongozi wa Chama na Serikali wakiwemo Wabunge, Mawaziri na Mkuu wa Mkoa Kigoma walihudhuria mazishi hayo ya Marry Ndalichako aliyekuwa na umri wa miaka 82 ambaye ameacha Watoto 8 na Wajukuu zaidi 20.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live