Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sabaya akutwa na tatizo la moyo

Sabaya Picha Ole Sabaya

Mon, 7 Nov 2022 Chanzo: dar24.com

Kesi ya Uhujumu uchumi inayo mkabili Lengai Ole Sabaya imeshindwa kusikilizwa leo kutokana na Sababu za Kutokuwepo kwa Hakimu Salome Mshasha wa Mahakama ya Mkazi Moshi.

Wakili wa Sabaya, Hellen Mauna amesema wameiomba mahakama kuharakishwa kwa shauri hilo kwani mteja wake, Sabaya amepimwa na kugundulika kuwa na ugonjwa wa moyo.

"Tumeomba Mahakama itupe tarehe ya karibu mno ili vitu vyote viende kwa haraka,tunapozidi kuchelewesha hali yake inazidi kudhoofika," amesema Wakili Hellen Mahuna.

Chanzo: dar24.com