Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sabaya aibuka, awakamata Viongozi wanaodaiwa kutapeli wananchi (+video)

Maxresdefault 61 660x400 Sabaya aibuka, awakamata Viongozi wanaodaiwa kutapeli wananchi (+video)

Thu, 4 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya ameiagiza TAKUKURU kuwakamata Watu wawili ambao wamekuwa wakihamasisha Wananchi kutoa pesa kati ya Elfu 22 hadi Elfu 85 kwa madai ya kuwaletea chakula kwa miaka mitano na kuwapa ajira.

Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya ameiagiza TAKUKURU kuwakamata Watu wawili ambao wamekuwa wakihamasisha Wananchi kutoa pesa kati ya Elfu 22 hadi Elfu 85 kwa madai ya kuwaletea chakula kwa miaka mitano na kuwapa ajira. Sabaya alifika Kijiji cha Tindigani Wilayani humo ambapo Wananchi zaidi ya 300 walilalamikia Taasisi moja kwa kuchukua pesa zao, Viongozi wa Taasisi hyo walikiri kuwa Taasisi hiyo haikusajiliwa na imekuwa ikichukua fedha hizo katika Mkoa wa Kilimanjaro na Mikoa mingine minne kwa muda wa miaka mitatu sasa.

Chanzo: millardayo.com