Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Saba wakatwa mapanga na watu wasiojulikana

MAPANGA  Mauaji Saba wakatwa mapanga na watu wasiojulikana

Wed, 15 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Watu saba wakazi wa Mtaa wa Majengo Mapya mkoani Morogoro wamekatwa mapanga na watu wasiojulikana wanaosadikiwa kuwa ni panya road ambao wamevamia katika maeneo wanayoishi usiku wa kuamkia leo.

Inaelezwa kuwa wavamizi hao wamevamia zaidi ya nyumba tano na walikuwa wanapiga kelele za mwizi ambazo zilikuwa zikiwafanya baadhi ya wakazi kutoka ndani.

Mwenyekiti wa mtaa huo, Magreth Kigodi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live