Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Saba wahofiwa kupoteza maisha kwa ajali Dakawa

Saba Wahofiwa Kupoteza Maisha Kwa Ajali Dakawa Saba wahofiwa kupoteza maisha kwa ajali Dakawa

Tue, 14 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Gari ndogo ya abiria ya NOAH, T101 DKB, imefyekwa upande mmoja wote na na lori kubwa la mizigo la Rwanda, katika maeneo ya Wami Dakawa, jirani na Manispaa ya Mji wa Morogoro, asubuhi ya leo tarehe 14 Mei, 2024.

Gari ndogo ya abiria ya NOAH, T101 DKB, imefyekwa upande mmoja wote na na lori kubwa la mizigo la Rwanda, katika maeneo ya Wami Dakawa, jirani na Manispaa ya Mji wa Morogoro, asubuhi ya leo tarehe 14 Mei, 2024. Watu saba waliokuwa katika NOAH hiyo, wanahofiwa kupoteza maisha. Walikuwa wakitokea Dakawa kuelekea Morogoro Mjini. Inasemekana lori lilihama njia na kwenda upande wa pili wa barabara na kusababisha ajali hiyo mbaya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live