Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Reuben atoweka kiutatanishi, atafutwa na ndugu zake

Reuben At 7.png Reuben atoweka kiutatanishi, atafutwa na ndugu zake

Wed, 18 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kijana Reuben Emmanuel Shilla (33) Mkazi wa Goba Mpakani Dar es salaam anatafutwa na Familia yake kwa siku ya tatu sasa baada ya kutoweka katika mazingira ya kutatanisha tangu alipoondoka nyumbani Jumapili October 15,2023 saa mbili asubuhi.

Taarifa iliyotolewa na Familia yake kwa kushirikiana na Mwajiri wake, imesema mara ya mwisho Shilla alionekana Stendi ya daladala ya Goba Misumi Dar es salaam akielekea kazini Posta lakini hakufika kazini wala kurudi nyumbani.

Taarifa hiyo imeomba yeyote atakayemuona au aliye na taarifa yoyote kuhusu Kijana huyo aiwasilishe kupitia 0759195872.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live