Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ratiba ya mazishi waliokufa ajalini Tanga

Ajali Msjs Majeneza yenye miili ya marehemu hao

Sun, 5 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Idadi ya watu waliofariki kwenye ajali iliyotokea wilayani Korogwe mkoani Tanga ikihusisha gari ya mizigo ‘Fuso’ na Coaster imefikia 20 baada ya majeruhi wengine wawili kufariki leo.

Ajali hiyo ilitokea jana Februari 4, 2023 wakati wanasafirisha mwili kwenda kuzikwa mkoani Kilimanjaro ambapo 18 walifariki papo hapo.

Ratiba ya mazishi kuaga 20 waliofariki ajali Korogwe

Wawili hao wamefariki mmoja akiwa anapatiwa matibabu Hospitali ya Rufaa Bombo na mwingine Muhimbili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live