Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia amtumbua DC Nanyumbu

Rais Samia Amtumbua DC Nanyumbu Rais Samia amtumbua DC Nanyumbu

Tue, 11 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu, Dk Stephen Mwakajumilo, Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais - Ikulu imesema.

Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu, Dk Stephen Mwakajumilo, Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais - Ikulu imesema. Wakati huohuo Rais Samia amemteua, Christopher Magala kuwa Mkuu wa Wilaya hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live