Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

RUKWA: Mbaroni kwa kumuua mjamzito na wanaye kwa deni la gunia mbili za mahindi

Jailed Matukio ya ukatili yamekua yakiongezeka siku za karibuni nchini

Thu, 27 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Philipo Vincent (22) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kumkata mapanga Mjamzito wa miezi nane, na watoto wake wawili akimdai Tsh. 100,000 ya Gunia mbili za Mahindi.

Mtuhumiwa alikwenda Nyumbani kwa Marehemu kumdai Fedha zake ambapo Marehemu alimwambia asimdai kwa nguvu kwa kuwa hakumtuma amkopeshe kauli ambayo ilimuudhi Mtuhumiwa na akaamua kutekeleza unyama huo.

Alipohojiwa sababu ya kuua Watoto alisema alifanya hivyo kwa sababu waliona wakati anamuua Mama yao. Watoto waliouawa ni Milliam (8) na William(4).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live