Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

RC mstaafu achukua fomu kuwania Ubunge Mvomero (+video)

Screen Shot 2020 07 15 At 5.26.20 AM 660x400.png Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Kigoma Brig. Jenerali Emmanuel Maganga

Thu, 16 Jul 2020 Chanzo: millardayo.com

Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Kigoma Brig. Jenerali Emmanuel Maganga amekabidhiwa fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Ubunge Jimbo la Mvomero  huku Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Prof. Kitila Mkumbo, akichukua fomu kugombea Ubunge katika Jimbo la Ubungo kupitia CCM.

Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Kigoma Brig. Jenerali Emmanuel Maganga amekabidhiwa fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Ubunge Jimbo la Mvomero  huku Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Prof. Kitila Mkumbo, akichukua fomu kugombea Ubunge katika Jimbo la Ubungo kupitia CCM. MAGUFULI AWASIMAMISHA DIAMOND NA ALIKIBA BIFU YAO “PATANENI, NYINYI NI VIJANA” AWAPA SOMO

Chanzo: millardayo.com