Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

RC asimulia msibani jinsi dereva wa RAS alivyopiga simu baada yakupata ajali

Rc Cv 660x400 RC asimulia msibani jinsi dereva wa RAS alivyopiga simu baada yakupata ajali

Mon, 8 Feb 2021 Chanzo: millardayo.com

Mkuu wa mkoa wa Arusha Idd Kimanta ameongoza watu mbalimbali kuuaga mwili wa aliyekuwa katibu tawala mkoa wa Arusha Richard Kwitega aliyefariki kwenye ajali katika eneo la Mdori mkoani Manyara wakati wakisafiri kikazi kuelekea mkoani Dodoma.Kimanta amesema baada ya ajali hiyo dereva aliyekuwa akimuendesha aliyekuwa katibu tawala alimpigia simu dereva wake nakumueleza kuhusu ajali hiyo

Mkuu wa mkoa wa Arusha Idd Kimanta ameongoza watu mbalimbali kuuaga mwili wa aliyekuwa katibu tawala mkoa wa Arusha Richard Kwitega aliyefariki kwenye ajali katika eneo la Mdori mkoani Manyara wakati wakisafiri kikazi kuelekea mkoani Dodoma.Kimanta amesema baada ya ajali hiyo dereva aliyekuwa akimuendesha aliyekuwa katibu tawala alimpigia simu dereva wake nakumueleza kuhusu ajali hiyo RC MGWHIRA ATOA USHAURI KWA MADEREVA KWENYE MSIBA WA RAS “UNALINDA USALAMA WAKO”

Chanzo: millardayo.com