Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

RC Mtwara: Puuzieni ni uzushi tu huo...

Uzushi  Mtwara (600 X 284) RC Mtwara: Puuzieni ni uzushi tu huo...

Mon, 17 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara imekanusha kuhusu taarifa zinazoendelea kusambazwa mitandaoni kwamba Shule tisa za mwisho Kitaifa zote zinatoka Mkoani Mtwara katika matokeo ya kidato nne yaliyotolewa January 15,2022.

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara imekanusha kuhusu taarifa zinazoendelea kusambazwa mitandaoni kwamba Shule tisa za mwisho Kitaifa zote zinatoka Mkoani Mtwara katika matokeo ya kidato nne yaliyotolewa January 15,2022. Uongozi huo umetoa matokeo halisi na kuwataka Watu wapuuze uongo unaozushwa mitandaoni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live