Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

RC Mongella na Kamati ya Ulinzi na Usalama walivyofanya kazi ya kupasua na kubeba Mawe

3040 Mongella 660x400

Mon, 12 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Mkuu wa Mkoa Mwanza John Mongella akiwa ameongozana na  Kamati yake ya Ulinzi na Usalama ametembelea Wilaya ya Kwimba kutazama juhudi za wananchi wakichangia miradi ya maendeleo kwa kuweka nguvu zao baada ya kuona RC Mongella na Kamati yake ya ulinzi na usalama wakaamua kujiunga na wananchi kubeba mawe.

Katika kusaidiana na Wananchi Mkuu wa Mkoa John Mongella alifanya kazi ya kubeba mawe huku Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza Ahmed Msangi akipasua mawe kwa kutumia nyundo.

HEKARI 8 ZA BANGI ZA FYEKWA TENA ARUSHA, VIONGOZI WATATU WA SERIKALI WANATAFUTWA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Chanzo: millardayo.com