Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

RC Makongoro Nyerere na vituko vyake akikaribishwa "kiki oyee,mimi sio Rais" (+video)

Video Archive
Sat, 26 Jun 2021 Chanzo: millardayo.com

Mkuu wa mkoa wa Manyara Makongoro Nyerere amesema atafanyia kazi ushauri aliopatiwa wakuruhusu uchimbwaji wa madini katika kitalu C ambacho kinamilikiwa na serikali baada yakusimama kwa shughuli za uchimbaji kwa zaidi ya mwaka mmoja.

Makongoro ametoa kauli hiyo alipoalikwa na wafanyabiashara wa madini mkoani hapo kwa lengo lakumkaribisha pamoja nakutoa tuzo kwa wafanyabiashara wa madini wanaolipa vizuri kodi ya serikali,pamoja nakusaidia jamii .

“Nimeshauriwa na vijana wangu walioko serikalini tujenge hoja nimesikia zaidi ya mwaka mmoja hakuna anayeruhusiwa kuchimba pale sina haraka nimeseikia wote lakini naanza kupata picha”-Makongoro Nyerere RC Manyara

Chanzo: millardayo.com