Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

RC Makalla amaliza ugomvi wa Meya na Mkurugenzi Kinondoni (+picha)

WhatsApp Image 2021 05 21 At 09.54.34 660x400.jpeg RC Makalla amaliza ugomvi wa Meya na Mkurugenzi Kinondoni (+picha)

Fri, 21 May 2021 Chanzo: millardayo.com

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla amemaliza sintofahamu ya uongozi wa manispaa iliyojitokeza Kati ya Meya wa Manispaa ya kinondoni, Songoro Mnyonge na Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Spora Liana.

Utatuzi wa mgogoro huo umefanyika leo katika kikao cha pamoja kilichoitishwa na Mkuu wa Mkoa na kuwakutanisha Meya na Mkurugenz wa Manispaa ya Kinondoni.

Makalla amewataka Viongozi hao kurejea ofisini na kufanya kazi kwa pamoja, kutekeleza miradi ya maendeleo na kutatua kero za Wananchi.

Kwa upande wa Meya na Mkurugenzi wamemaliza tofauti zao na wamehaidi kufanya kazi kwa pamoja kwa maslahi mapana ya Wananchi.





MTOTO JASIRI ANATANGAZA DW, AWASHANGAZA WENGI, ANA UWEZO WA AJABU, AJIZOLEA UMAARUFU MKUBWA DUNIANIhttps://youtu.be/wr4FJmd5MWo
Chanzo: millardayo.com