Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

RC Makalla: Uchunguzi tayari umeanza

Karumee Uchunguzi (600 X 329) Uchunguzi tayari umeanza

Mon, 17 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

"Baada ya Tume ya Uchunguzi kuundwa na Waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa kutoa siku saba uchunguzi ukamilike, tayari Tume hiyo imeanza kazi na niwasihi Wafanyabiashara wa eneo hilo kuendelea kutoa ushirikiano ili Serikali ijue chanzo na mwisho mapendekezo na ushauri"

"Baada ya Tume ya Uchunguzi kuundwa na Waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa kutoa siku saba uchunguzi ukamilike, tayari Tume hiyo imeanza kazi na niwasihi Wafanyabiashara wa eneo hilo kuendelea kutoa ushirikiano ili Serikali ijue chanzo na mwisho mapendekezo na ushauri" "Wakati Tume inafanyakazi katika siku saba eneo lile liwe wazi kama ilivyo sasa na baada ya hapo tutatoa taarifa hiyo na hatma ya nini kinachoendelea" ——— Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla

Chanzo: www.tanzaniaweb.live